Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, February 1, 2017

NAFASI ZA KAZI ARUSHA

Maafisa Mauzo(X10) na Msimamizi wa Ofisi (x1)


Marketing, Advertising & PR


Details
Employer Name: Lokamo Ujasiriamali Centre
Organization Type: Private Sector
Role: Entry Level
Position Type: Full Time
Location: Arusha
                    Arusha Mjini
Application Deadline: 07-02-2017
Listed on: 01-02-2017

Description Application Instructions
AWE NA SIFA ZIFUATAZO
1. Elimu ya Kidato cha nne
2. awe mkazi wa JIji la Arusha
3. umri miaka usiozidi miaka 30
4. awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya kazi
5. awe tayari kufanya kazi kwa malengo
6. awe smart
7. awe tayari kusafiri nje ya Arusha
kwa mwenye sifa stahiki, atume maombi yake  katika ofisi zetu zilizopo KIMANDOLU JIRANI NA GETI KUBWA LA KANISA LA KKKT USHARIKA WA KIMANDOLU, muda wa ofisi kuanzia saa 2:30AM-10:30PM au awasiliane nasi kwa simu kwa maelezo zaidi
 

No comments:

Post a Comment