Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Sunday, March 19, 2017

BREAKING NEWS:TAARIFA YA WAZIRI NAPE JUU YA CLOUDS NA MAKONDA



TAARIFA KWA UMMA!

Kufuatia taarifa zilizo enea katika mitandao ya kijamii zinazomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Dar-ess-Salaam, Mhe. Paul Makonda na kituo cha televisheni cha Clouds Media; Waziri mwenye dhamana ya habari na michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amehaidi kufuatilia suala hili ili kujua undani wake.

Chini ni taarifa ambayo Waziri Nnauye ameichapisha kwenye kurasa wake wa Twitter.

"Kesho asub kama Waziri Mwenye dhamana na HABARI nitatembelea CloudsMedia kujua kilichotokea. Nawaomba sana wanahabari nchini KUTULIA kwasasa!"

SOURCE:TANZANIA GOVERNMENT WEBSITE

No comments:

Post a Comment