Mwenyekiti
wa kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara Dk Dalali Kafumu na makamu wa
kamati hiyo Vick Kamata, kwa pamoja wamejiuzulu nafasi zao.
Viongozi
hao wameeleza sababu za kuchukua hatua hiyo kuwa ni serikali kuingilia
majukumu yao katika utendaji kazi na hivyo wakaeleza kuwa hawaoni sababu
za kuendelea na majukumu hayo.
No comments:
Post a Comment