nina wasi wasi na ili tangazo la kazi, mmiliki wa hii blogu kuwa makini matangazo namna hii yanaweza kupelekea blog yako kuonekana ni ya kitoto mno ambayo inachukua taarifa bila kuzihakiki na kuziweka hapa ili mradi tuu upate watu wengi wanaotembelea blog yako.

ReplyDeletewasiwasi wako nini wakati tangazo linajieleza vizuri na muhuli wa taasisi husika embu tuambie wasi wasi wako uko wapi?
Delete