Mwalimu wa Hoteli
Education & Teaching
Details
Employer Name: Grace College
Organization Type: Private Sector
Role: Experienced
Position Type: Full Time
Location: Mbeya
Mbeya Mjini
Application Deadline: 17-03-2017
Listed on: 15-03-2017
Description
NAFASI YA KAZI YA UALIMU WA HOTELI-NAFASI MBILI
Grace College ni chuo kilicho chini ya Kanisa la Neema Tanzania chenye usajili wa Mamlaka ya mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Chuo kipo Mtaa wa Forest karibu na Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya. Grace College tunatoa Kozi zifuatazo Uhazili(Secretarial) Mwaka Mmoja, Hoteli na Utalii (Hotel Management and Tourism) Miezi Sita, Utalii na Uongozi(Tourism and Management) Miezi Sita, Kozi Fupi za Kompyuta (Computer Courses) Miezi Miwili na Kozi za Lugha ( English and French Courses) Miezi Mitatu.
Tunayofuraha kuwatangazia nafasi ya kazi ya ualimu wa hoteli kwa wanafunzi wa ngazi ya Cheti,
Application Instructions
SIFA ZA MWOMBAJI 1. Awe ana stashahada ya hoteli kutoka chuo chochote 2. Awe na sifa za kufundisha ama zifanano 3. Awe anajua kiingereza kwa ufasaha 4. Awe na taaluma ya kutumia kompyuta 5. Awe na uwezo wa kufundisha kozi zote za hoteli
TUMA MAOMBI HAPA
No comments:
Post a Comment