Alexi's Sanchez jana usiku amefanya kituko cha wiki baada ya kuanguka chini kwa kuchelewa baada mpira kumpiga mdomoni tukio hilo lililowashangaza wengi uwanjani hapo.
tukio hilo linafananishwa na lile alililofanya Rivaldo kwenye kombe la Dunia mwaka 2002 dhidi ya Uturuki na baadae Rivaldo alilimwa fine ya Euro 1,000. angalia picha za tukio hapa chini.JE SANCHEZ ANASTAHILI ADHABU? TOA MAONI YAKO HAPA CHINI.
No comments:
Post a Comment