Lionel
Messi akiwa amebebwa na Jordi Alba baada ya kuifungia bao la ushindi
Barcelona dakika ya 90 na ushei wakiwalaza 3-2 wenyeji, Real Madrid
usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid katika mchezo wa La Liga.
Messi amefunga mabao mawili leo, lingine dakika ya 33 huku bao lingine
la Barca likifungwa na Ivan Rakitic dakika ya 73 na ya Real Madrid
yamefungwa na Carlos Henrique Casemiro dakika ya 28 na James Rodriguez
dakika ya 85. Real Madrid ilimaliza pungufu mechi hiyo baada ya beki
wake, Sergio Ramos kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 77 kwa kumchezea rafu MessiCasemiro's opener.
No comments:
Post a Comment