Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, April 5, 2017

BREAKING NEWS:HAWA HAPA WABUNGE WALIOCHAGULIWA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI



Wafuatao wamechaguliwa kuwa wabunge wa EALA÷ KUNDI LA ZANZIBAR CCM 1.mhe Dkt Abdala Makame 2.Mhe Maryam Ussi yahya.

KUNDI LA TANZANIA BARA CCM 1.Mhe Adam kimbisa 2.Mhe Dr Ngwaru Magembe 3.Mhe Happiness Lugigo 4.Mhe.Fancy

KUNDI LA UPINZANI CUF 1. Mhe Mnyaa.

CHADEMA Kura zimewakataa nyingi kuliko zilizokubali hivyo kwa mujibu wa kanuni hawatakua wabunge wa EALA.

Chadema kura za ndio 126 na kura za hapana zimekuwa nyingi 198 hivyo nafasi zao 2 zitabaki wazi.

No comments:

Post a Comment