Mwili wa Mbunge wa viti maalumu wa CHADEMA MHE ELLY MACHA umewasili leo alhamisi tarehe 20/4/2017
Baada ya kuwasili na kupokelewa mwili umepelekwa LUGALO kuhifadhiwa.
Kesho Ijumaa tarehe 21/4/2017 mwili utasafirishwa kwenda DODOMA kwa ajili ya heshima za mwisho,
na baada ya hapo mwili utasafirishwa kuja Arusha USA nyumbani kwa Dr. Elly kwa ajili ya taratibu za kuendelea kuaga mwili.
No comments:
Post a Comment