Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitakiana
amani na mmoja wa mapadre katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya
Kristo Mfalme Moshi Mjini alikohudhuria ibada ya Jumapili leo Aprili 30,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipokea Ekaristi Takatifu toka kwa Askofu Isaac Aman katika Kanisa la
Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini alikohudhuria ibada
ya Jumapili leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiungana na waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo
Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017
Waumini
wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli aliposalimia waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki
Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili
30, 2017

Pombe Magufuli akisalimia waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki
Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili
30, 2017
Waumini
wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akisalimia waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki
Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili
30, 2017
Waumini
wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli aliposalimia waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki
Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili
30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiombewa na Askofu Isaac Aman katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia
ya Kristo Mfalme Moshi mjini alikohudhuria ibada ya Jumapili leo Aprili

akisalimiana na watawa katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya
Kristo Mfalme Moshi mjini baada ya ibada ya Jumapili leo Aprili 30,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana na waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya
Kristo Mfalme Moshi mjini baada ya ibada ya Jumapili leo Aprili 30,
2017
Askofu
Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo akitoa mahubiri wakati wa ibada
ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika
wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
waumini wengine wakimsikiliza Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick
Shoo akitoa mahubiri wakati wa ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT
Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikaribishwa na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo kuongea
na wananchi baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi
ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikaribishwa na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo kuongea
na wananchi baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi
ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na waumini na wananchi baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT
Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na waumini na wananchi baada ya ibada ya Jumapili katika
Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo
Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiombewa sala maalumu na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick
Shoo kuongea na wananchi baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la
KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili
30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa
Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadick wakati wa kuhitimisha ibada ya
Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa
Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongozana na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo baada ya
ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika
Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo, Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Muhagama, Askofu Mstaafu Evarist Kweka wakipata picha ya pamoja baada
ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika
Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo na Askofu
Mstaafu Evarist Kweka baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT
Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo na Askofu
Mstaafu Evarist Kweka na kiongozi mwingine baada ya ibada ya Jumapili
katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi
Mjini leo Aprili 30, 2017. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment