Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Tuesday, May 9, 2017

BUS LA ALLY'S LAPATA AJALI MBAYA MKOANI MWANZA


Basi la Ally's lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora limegongana na basi la Isanzu uso kwa uso lililokuwa linaelekea Mwanza kutoka Kahama

Ajali imetokea saa mbili asubuhi eneo la Samuye barabara barabara ya Shinyanga.Hali ya dereva wa basi la Isanzu si nzuri.

Watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya rufaa Shinyanga,hakuna mtu aliyepoteza uhai kwenye ajali hi

No comments:

Post a Comment