Diego Costa akimtungua kipa wa Middlesbrough, Brad
Guzan kutoka umbali wa mita sita kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika
ya 23 Uwanja wa Stamford Bridge, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya
England usiku wa jana. Chelsea ilishinda 3-0 mabao yake mengine
yakifungwa na Marcos Alonso
dakika ya 34 na Nemanja Matic dakika ya 64 matokeo ambayo yanaishuka
daraja rasmi Boro huku Te Blues ikizidi kuukaribia ubingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tuesday, May 9, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment