Majina
ya wanafunzi 29 wa Shule Lucky Vicent ya jijini Arusha waliokuwa katika
ziara ya kimafunzo kuelekea Ngorongoro wakitumia basi aina ya Toyota
Coaster walipata ajali asubuhi ya leo na kusababisha ya vifo vya
wanafunzi na walimu zaidi ya 30 papo hapo.
Aidha taarifa za awali kutoka Hospital ya Lutheran Karatu zinaarifu kuwa
miili iliyopokelewa hapo hospitali ni 32 miongoni mwao ni waalimu 2 dereva 1
pamoja na wanafunzi 29 ambapo wanafunzi wa kiume 11 na wasichana 18.
Wasamaria wakisaidia kutoa miili ya wanafunzi hao katika gar
No comments:
Post a Comment