Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana,
Wanawake na Watoto, Mhe. Maudline Cyrus Castico alipowasili katika
viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo katika
Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi Zanzibar Maalim Khamis Mwinyi alipowasili katika viwanja vya
Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo katika Sherehe za
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akiwapungia Mkono Wafanyakazi mbali mbali waliopita mbele yake
kwa Maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda
Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na
Utawala Bora wakipita kwa Maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya
Kaskazini "B" Unguja.
Wafanyakazi
na Wananchi kutoka shehia mbali mbali za Unguja walijumuika kwa
pamoja katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya
Kaskazini "B" Unguja,wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) akiwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akiwapungia Mkono Wafanyakazi mbali mbali waliopita mbele yake
kwa Maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda
Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja akiwa na Viongozi mbali mbali.
Wafanyakazi
na Wananchi kutoka shehia mbali mbali za Unguja walijumuika kwa
pamoja katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya
Kaskazini "B" Unguja,wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) akiwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
Wafanyakazi
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakibeba Bango lenye Nembo la Idara
yao wakati wa maandamano katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya
Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira
Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani).
Wafanyakazi
wa Benki ya Tanzania BOT wakibeba Bango lenye Nembo la Idara yao wakati
wa maandamano katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda
Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani).
Wafanyakazi
wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakimpungia Mkono Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani),alipokuwa akipokea maandamano katika Sherehe za Kilele cha
maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika
viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.Picha na Ikulu,
Zanzibar
No comments:
Post a Comment