LEO TAREHE 2.05.2017 WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KWOTE NCHINI WATAKUWA WAKIFANYA MITIHANI YAO YA KUMALIZA ELIMU YA SEKONDARI.
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA MITIHANI NECTA AMESEMA WANAFUNZI WATAKAO FANYA MITIHANI HIYO NI 74,963 NCHINI KWOTE.
MITIHANI HIYO INATARAJIWA KUMALIZIKA TAREHE 19.MAY.2017
RATIBA YA MITIHANI HIO INAONESHA LEO WANAFUNZI HAO WATAANZA NA MTIHANI WA BASIC APPLIED MATHEMATICS& PURE MATHEMATICS AMBAYO ITAFANYIKA ASUBUHI, NA MCHANA WATAFANYA MTIHANI GENERAL STUDIES.
KWA NIABA YA CHAINA MEDIA TUNAWATAKIA KILA LAKHERI WANAFUNZI WOTE NCHINI WATAKAOFANYA MITIHANI HIYO, MUNGU AWAONGOZE WAFANYE VYEME.
No comments:
Post a Comment