Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii
leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara,
gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na
Mwanza.Chanzo cha Moto huo bado hakijafahamika,taarifa za awali kutoka
kwa baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo pamoja na abiria wameeleza kuwa
baadhi ya mali za abiria zimeketea kwa moto,hakuna mtu aliyepoteza
maisha.
No comments:
Post a Comment