Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Thursday, July 13, 2017

HATIMAE KOCHA JUMA MWAMBUSI ATIMKA YANGA


Kocha msaidizi wa yanga JUMA MWAMBUSI ameachia ngazi katika timu hiyo mra baada ya mkataba wake kumalizika akizungumza na kipindi cha sports HQ EFM RADIO Mwambusi amesema "Mkataba wangu na Yanga SC umeisha toka June 30,kwanza nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa misimu yote miwili na tumeweza kushirikiana Uongozi wachezaji , washabiki na wapenzi pamoja na wanachama kuhakikisha Yanga yetu inapata mafanikio''

Sitakuwa kwenye mpira kidogo kwa hiyo watanikosa wadau soka, nitakuwa katika mambo binafsi kwa msimu wote nahitaji kupumzika, kwa hiyo nadhani msimu utakaokuja mwingine inshaallah Mwenyezi Mungu akitupa uhai tutaungana tena katika gurudumu hili la kulisogeza soka letu mbele".

No comments:

Post a Comment