Rekodi ya dunia imeongezeka kwa £ 57millioni tangu kugeuka kwa karne na imekuwa kawaida kwa timu kuvunja rekodi zao wenyewe kwa kawaida katika kufuatilia kikosi kinachoweza kushindana katika ngazi ya juu ya mashindano.
Hapa, Mchaina news tunakuletea jinsi vilabu 20 vya Ligi Kuu vikivunja record ya uhamisho katika miaka ya hivi karibuni.
- Angel di Maria alivunja rekodi ya uhamisho ya Manchester United kabla ya Paulo Pogba hivi karibuni
Andriy Shevchenko alimgharimu Roman Abramovich £30million wakati akitua Chelsea 2006
Matt Jarvis alishikiria rekodi ya uhamisho kwa West Ham kabla ya Andy Carroll kuja kuivunja
Sylvain Wiltord (Bordeaux, August 2000) £13m
Andrey Arshavin (Zenit St Petersburg, February 2009) £15m
Mesut Ozil (Real Madrid, September 2013) £42.4m
Arsenal ilivunja rekodi yao ya uhamisho kwa Mjerumani huyo , ambaye alikwenda kuwa mshindi wa Kombe la Dunia.
Mesut Ozil aliondoka Real Madrid kwenda Arsenal mwezi September 2013 kwa ada ya £42.4million
BOURNEMOUTH
Benik Afobe (Wolves, January 2016) £10m
Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya vijana ya Arsenal alifunga magoli 10 toka awasili katika dimba la Dorset.
Jordon Ibe (Liverpool, July 2016) £15m
Baada ya kucheza mara 58 tu mshambuliaji huyo kinda aliamua kutimka kwenda kutafuta mahala pengine ambapo angeonesha kipaji chake
Nathan Ake (Chelsea, June 2017) £20m
BRIGHTON
Craig Mackail-Smith (Peterborough, July 2011) £2.5m
Shane Duffy (Blackburn, August 2016) £4m
Mathew Ryan (Valencia, June 2017) £6m
Goalkeeper huyu raia wa Australia amesaini mkataba wa miaka 5na timu hiyo iliyopanda daraja msimu huu
BURNLEY
Stephen Defour (Anderlecht, August 2016) £7.5m
Jeff Hendrick (Derby, August 2016) £10.5m
Robbie Brady (Norwich, January 2017) £13m
- CHELSEA
Michael Essien (Lyon, August 2005) £24.4m
Andriy Shevchenko (AC Milan, May 2006) £30m
Fernando Torres (Liverpool, January 2011) £50m
.
CRYSTAL PALACE
Yohan Cabaye (PSG, July 2015) £10m
Andros Townsend (Newcastle, June 2016) £13m
Christian Benteke (Liverpool, August 2016) £27m
EVERTON
Marouane Fellaini (Standard Liege, September 2008) £15m
Romelu Lukaku (Chelsea, July 2014) £28m
Jordan Pickford (Sunderland, June 2017) £30m
HUDDERSFIELD
Nahki Wells (Bradford City, January 2014) £1.3m
.
Christopher Schindler (TSV Munich, June 2016) £1.8m
Aaron Mooy (Manchester City, June 2017) £10m
LEICESTER
Andrej Kramaric (FC Rijeka, January 2015) £9m
Ahmed Musa (CSKA Moscow, July 2016) £16m
Islam Slimani (Porto, August 2016) £29m
LIVERPOOL
Andy Carroll (Newcastle, January 2011) £35m
Sadio Mane (Southampton, June 2016) £36m
Mo Salah (Roma, June 2017) £39m
MANCHESTER UNITED
Juan Mata (Chelsea, January 2014) £37.1m
Angel di Maria (Real Madrid, August 2014) £59.7m
Paul Pogba (Juventus, August 2016) £89m
MANCHESTER CITY
Sergio Aguero (Atletico Madrid, July 2011) £38m
Raheem Sterling (Liverpool, July 2015) £49m
.
Kevin De Bruyne (Wolfsburg, August 2015) £55m
NEWCASTLE
Les Ferdinand (QPR, July 1995) £6m
Alan Shearer (Blackburn, July 1996) £15m
Michael Owen (Real Madrid, August 2005) £17m
SOUTHAMPTON
Victor Wanyama (Celtic, July 2013) £12.5m
Dani Osvaldo (Roma, August 2013) £15m
Sofiane Boufal (Lille, August 2016) £16m
STOKE
Peter Crouch (Tottenham, September 2011) £10m
Xherdan Shaqiri (Inter Milan, August 2015) £12m
Giannelli Imbula (Porto, February 2016) £18.6m
SWANSEA
Pablo Hernandez (Valencia, August 2012) £5.5m
Wilfried Bony (Vitesse Arnhem, July 2013) £12m
Borja Baston (Atletico Madrid, August 2016) £15m
TOTTENHAM
Roberto Soldado (Valencia, August 2013) £26m
Erik Lamela (Roma, August 2013) £29.9m
Moussa Sissoko (Newcastle, September 2016) £30m
WATFORD
Abdoulaye Doucoure (Rennes, February 2016) £8m
Isaac Success (Granada, July 2016) £12.5m
Roberto Pereyra (Juventus, August 2016) Undisclosed
WEST BROM
Brown Ideye (Dynamo Kiev, August 2014) £10m
Salomon Rondon (Zenit St Petersburg, August 2015) £12m
Nacer Chadli (Tottenham, August 2016) £13m
WEST HAM
Matt Jarvis (Wolves, August 2012) £10.75m
Andy Carroll (Liverpool, June 2013) £15m
Andre Ayew (Swansea, August 2016) £20.5m
ASANTE KWA KUWA NASI MAKALA HII IMEANDALIWA NA MICHAEL CHAINA PICHA KWA HISANI YA DAILYMAIL.CO.UK ENDELEA KUWA NASI MCHAINA NEWS PAKUA APPLICATION YETU KWA KU BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment