Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Tuesday, July 11, 2017

MATUKIO 10 ARSENAL WAKIWASILI AUSTRALIA KWA PRE-SEASON

Arsenal wamewasili Australia kwa maandalizi yao ya awamu ya kwanza ya msimu ujao nchini Australia jumanne jioni
Kocha Arsene Wenger aliiongoza timu yake kuwasili uwana wa ndege wa Sydney pamoja na mshambuliaji wake mpya  Alexandre Lacazett.
mshambuliaji huyo alitumia muda mwingi kupiga picha na mashabiki hao na kusalimiana nao
Alexandre Lacazette meets Arsenal fans at Sydney airport after landing on Monday night
Alexandre Lacazette akiwa na mashabiki wa Arsenal uwanja wa ndege wa Sydney 
Arsene Wenger shakes hands with supporters as he led his team through the airport
Arsene Wenger akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuwasili uwanja wa ndege
The Gunners were greeted by hundreds of excited fans as they arrived for the pre-season tour
Arsenal wakipokelewa na mamia ya washabiki baada ya kuwasili uwana wa ndege wa Sydney kwa maandalizi ya msimu mpya

Swiss midfielder Granit Xhaka cut a low profile after the long journey from London
                         Kiungo Mswiss  Granit Xhaka akilakiwa na mashabiki waliompokea
Fan favourite Theo Walcott was in high spirits after vowing to fight for his place in the team
                                     Theo Walcott akiwasalmia mashabiki wa Arsenal
Olivier Giroud has joined the team on the trip, even with interest in him from Everton
             Olivier Giroud akitembea kwa furaha mbele ya mashabiki kibao wa Arsenal

Mesut Ozil has revealed what Julian Draxler told him about new signing Sead Kolasinac
                     Mesut Ozil akipita mbele ya mashabiki wa Arsenal 
Kolasinac, pictured on the flight to Sydney, has signed a four-year deal with the Gunners
Kolasinac, Pichani akiwa katika ndege pamoja na Xhaka  Beki huyo amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Arsenal
Wenger posed with a Koala bear mascot after arriving for the tour on Monday night

RATIBA YA ARSENAL YA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

July 13: Sydney (ANZ Stadium, Sydney) 11am
July 15: Western Sydney Wanderers (ANZ Stadium, Sydney) 11am
July 19: Bayern Munich (Shanghai Stadium, Shanghai) 12.20pm
July 22: Chelsea (Bird's Nest Stadium, Beijing) 12.40pm
July 29: Benfica (Emirates Stadium) 4.20pm
July 30: Sevilla (Emirates Stadium) 4.20pm
August 6: Chelsea (Wembley Stadium - Community Shield) 2pm 

IMEANDALIWA NA KUHARIRIWA NA MICHAEL CHAINA

No comments:

Post a Comment