Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Thursday, July 6, 2017

STARS YAPANDA VIWANGO VYA UBORA FIFA

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' yapanda kwa nafasi 25 katika viwango vya soka duniani vya FIFA kutoka nafasi ya 139 hadi ya 114.

No comments:

Post a Comment