Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Tuesday, July 11, 2017

UJIO WA EVERTON WANUKIA TANZANIA

Tunaweza kusema ujio wa Everton unanukia,kwani hii Leo jijini daresalaam kumeonekana maandalizi ya basi litakalo wapokea wachezaji hao,basi hilo limepambwa picha za wadhamini wa timu hiyo ambao ni Sportspesa.Everton watawasili kesho nchini kwa ziara ya michezo ya pre-season

No comments:

Post a Comment