Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Thursday, July 13, 2017

VIDEO:TAZAMA HAPA GOLI LA ROONEY ALILOFUNGA DHIDI YA GORMAHIA

Rooney akiwapungia mkono mashabiki waliojitokeza leo uwanja wa taifa


Mchezo kati ya Gormahia ya Kenya na Everton umemalizika katika uwanja wa taifa na timu ya Everton ikitoka kifua mbele kwa ushindi wa magoli 2-1 na moja kati ya magoli hayo limefungwa na Wayne Rooney litazame goli hilo hapa chini




 

No comments:

Post a Comment