Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Tuesday, August 1, 2017

HATUA ZA KUFUATA KUFUNGUA ACCOUNT YA AJIRA PORTAL

HATUA ZA KUFUATA WAKATI WA KUFUNGUA ACCOUNT/PROFILE YA AJIRA PORTAL


1.Ingia kwenye website ya ajira portal portal.ajira.go.tz itafunguka na itakuletea picha kama ifuatayoa
2.Hatua ya pili baada ya hapo click kipengele kilicho andikwa register kipo juu kulia baada ya hapo itakuletea picha kama ifuatayo.
3.Hatua ya tatu utajisajili kwa kutumia email yako na password yako kumbuka kuweka password ambayo hautaisahau
4.Hatua ya nne bbada ya kujisajili kwa email yako utatumiwa ujumbe inbox kwenye email yako utakaokutaka u activate account yako kama picha inavyoonesha hapo juu.
5.Hatua ya tano baada ya ku activate account yako system itakurudisha kwenye website yao na utaona ujumbe kuwa account tayari imekuwa activated kama picha inavyooneshs hapo juu.
6.Hatua ya sita utalog in kwa email yako na paassword utaweka kama picha inavyoonesha hapo juu.
7.Baada ya ku login itakupeleka kwenye account yako ambapo utaanza kujaza taarifa zako kama watakavyokuelekeza.
utaendelea kujaza taarifa zako mpaka mwisho kadiri ya maelekezo yao.Baada ya hapo sasa unaweza kuanza kutuma maombi ya kazi kutokana na matangazo ya utumishi kwa kutumia account yako ya ajiraportal.

MAMBO YA KUZINGATIA.

1.KUMBUKA KUWA NA VYETI VYAKO VYOTE KWA MTINDO WA PDF.
2.KUMBUKA KUWA NA PASSPORT UTAKAYO IUPLOAD KWENYE KIPENGELE CHA DARSHBOARD
3.KUMBUKA KUWA NA CURRICULUM VITAE(CV) YENYE WADHAMINI WATATU.

IMEANDALIWA NA; MICHAEL CHAINA CEO CHAINAMEDIA GROUP KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANE KWA WHATSAP NAMBA 0675967442