Mkuu
wa mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella akizungumza na wageni/ watumishi wa
Mungu kutoka taasisi ya More International Ministry ya Marekani
ikiongozwa na Mwinjilisti Rojas Matias, walipomtembelea ofisini kwake
jana.
Watumishi
hao walikuwa na mkutano mkubwa wa injili tangu Septemba 27 hadi Oktoba
Mosi, 2017 katika uwanja wa Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza ulioandaliwa
na kanisa la EAGT Lumala Mpya chini ya Mchungaji Dkt.Daniel Moses
Kulola.
Mhe.Mongella
aliwahakikishia ushirikiano mwema pindi watakapokuwa tayari kuwekeza
katika shughuli mbalimbali ikiwemo za kielimu katika mkoa wa Mwanza.
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella akizungumza na wageni/ watumishi wa
Mungu kutoka taasisi ya More International Ministry ya Marekani
Wageni
kutoka Marekani pamoja na mwenyeji wao Mchungaji Kulola, wakimsikiliza
kwa makini Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella.
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella (kulia) akizungumza na wageni/
watumishi wa Mungu kutoka taasisi ya More International Ministry ya
Marekani. Katikati ni Mwinjilisti Rojas Matias kutoka Marekani na
kushoto ni Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola kutoka kanisa la EAGT
Lumala Mpya Jijini Mwanza.
Baada ya mazungumzo, watumishi hao walifanya maombi kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Baada ya mazungumzo, watumishi hao walifanya maombi kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza, John Mongella (katikati), Mwinjilisti Rojas Matias
kutoka Marekani (kushoto) pamoja na Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola
kutoka kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza (kulia)
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza, John Mongella (kushoto) akiwa pamoja na Mchungaji
Dkt.Daniel Moses Kulola kutoka kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza
(kulia).
Katibu
wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Levi Matia (kushoto),
akiwakaribisha wageni kutoka Marekani walipotembelea ofisini hapo jana.
Timu ya More International Ministry kutoka Marekani ikiwa kwenye ofisi za mkuu wa mkoa wa Mwanza
Timu
ya More International Ministry kutoka Marekani ikiondoka katika ofisi za
mkuu wa mkoa wa Mwanza na mwenyeji wao Mchungaji Dkt.Daniel Moses
Kulola (wa kwanza kushoto).
Salamu na wenyeji katika mitaa ya Jiji la Mwanza
Timu
ya More International Ministry kutoka Marekani pamoja na wenyeji wao
fukwe za Ziwa Victoria ili kujionea mawe ya "Bismarck Rock" katika eneo
la Kamanga
Walifurahia uzuri wa eneo hili na hakika hii ni nenmbo ya Jiji la Mwanza
Walifurahia ukaaji wa mawe haya
Pia ilikuwa furaha kugusa maji ya Ziwa Victoria mubashara
Eneo hili lina mijusi wakubwa hivyo walifurahia kuitazama mubashara
Mwinjilisti
Rojas Matias kutoka Marekani (kushoto) akiwa na mwenyeji wake Mchungaji
Dkt.Daniel Moses Kulola (kulia) kutoka kanisa la kimataifa la EAGT
Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini
Mwanza, katika fukwe za Kishimba Beach.
