Mkuu wa mkoa wa Iringa mwalimu Amina Masenza akifundi somo la Uraia
kwa wanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Sadani wilaya
ya Mufindi leo baada ya kufanya ziara shuleni hapo
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mwalimu Amina Masenza akifundisha somo la urai
Mkuu wa mkoa wa Iringa mwalimu Amina Masenza akipokelewa shule ya sekondari Sadani
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Wiliam Jamhuri akimkaribisha mkuu wa mkoa wa Iringa
Watalam wa mkoa wa Iringa
Walimu na viongozi wa wilaya ya Mufindi
Watumishi wakimsikiliza mkuu wa mkoa
Mkuu wa shule ya sekondari Sadani Mufindi Yusuph Mwagala
Mkuu wa shule ya sekondari Sadani Mufindi Yusuph Mwagala akipongezwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Mwalimu Amina Masenza
Mkuu wa mkoa wa Iringa mwalimu Amina Masenza na mkuu wa wilaya ya
Mufindi Wiliam Jamhuri wakifungua daharia ya wasichana shule ya
sekondari Sadani
Rc akikagua daharia hiyo
Bwalo la chakula Sadani Sekondari ambalo linahitaji wadau kuchangia ili kukamilika
Rc Mwalimu Masenza akitoka kukagua bwalo hilo
Mwanafunzi wa kidato cha sitta Sadani sekondari Sagendo Fadhili
akijibu maswali ya mkuu wa mkoa wa Iringa Mwalimu Amina Masenza
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mwalimu Amina Masenza akiendelea kufundisha
wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari sadani
Mkuu wa mkoa wa Iringa mwalimu Amina Masenza akiwa na mkuu wa shule ya
Sadani katikati na mkuu wa wilaya ya Mufindi Bw Wiliam Jamhuri kushoto
Walimu wa Sadani Sekondari wakifurahia ziara ya mkuu wa mkoa shuleni
hapo na kuomba kusaidiwa kusogezewa umeme wa Rea shuleni hapo
Mwalimu Masenza mkuu wa mkoa wa Iringa akiteta na walimu wenzake wa shule ya sekondari Sadani Mufindi
No comments:
Post a Comment