Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, May 17, 2017

TANZIA:MSANII WA BONGO FLAVA DOGO MFAUME AFARIKI DUNIA

Taarifa Za kuhuzunisha kutoka Hospitali ya Muhimbili zinadai Kuwa Msanii Dogo Mfaume ameaga dunia Muda Mfupi uliopita, Dogo Mfaume Alifikishwa katika Hospitali hiyo Siku kadhaa zilizopita akitokea Back 2 Life Sober House Kigamboni ambako Alikua anaishi, Kabla ya umauti wake Alikua anasumbuliwa na Uvimbe kwenye ubongo, Hali iliyomsababishia kupungua Kwa uwezo wa kuongea, na Maradhi mengine, na ilikua afanyiwe upasuaji Ijumaa ya Kesho kutwa.

Kwa wasio mfahamu au kumtambua Dogo mfaume ni yule ambae alitamba na kazi ya

Kazi ya Dukani.

No comments:

Post a Comment