Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Tuesday, February 21, 2017

NAFASI ZA KAZI 50 SHIRIKA LA ELNET TANZANIA SHARE KWA RAFIKI ZAKO

TANGAZO

NAFASI ZA INTERNSHIP

INTENS HAMSINI (50) WENYE ELIMU YA DIPLOMA AU DEGREE WANAHITAJIKA KUFANYA KAZI NA ELNET AFRICA KWA KIPINDI CHA MIEZI MITATU (3),KUANZIA APRIL HADI JUNE 2017.

INTERNS WATAPATA WASTANI WA SHILINGI 600,000/= KWA MWEZI.

Waombaji watume CV zao kwenye BARUA PEPE elnetafrica2016@gmail.com si zaidi ya tarehe 31 machi 2017.
Kwa maelekezo zaidi tembelea www.elnetafrica.com

IMETOLEWA NA
AFISA MTENDAJI MKUU
ELNET AFRICA LTD

No comments:

Post a Comment