Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Tuesday, March 28, 2017

BREAKING NEWS:CUF WAMVUA MAALIM SEIF NAFASI YA UKATIBU MKUU

Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.

Taarifa ya hatua hiyo imetangazwa Mapema leo na Prof Ibrahim Lipumba


Habari zaidi itakujia hivi punde...

No comments:

Post a Comment