Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Thursday, March 30, 2017

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI WIZARA YA AFYA



TANGAZO LA KUITWA KAZINI


Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
inawajulisha waliofaulu usaili wa ajira za dharura kupitia ufadhili wa
CDC kuwa wanatakiwa kufika Wizarani Dar es salaam siku ya jumanne
tarehe 04 Aprili, 2017 kuanzia
saa tatu asubuhi kwa ajili ya kujaza
mikataba na kupangiwa vituo vya kazi.

wito huu ni muhimu wahusika
wote wanatakiwa kufika bila kukosa
Imetolewa na Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, Wizara ya afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto


FUNGUA HAPA KUANGALIA MAJINA

No comments:

Post a Comment