BARAZA LA MITIHANI TANZANIA (NECTA) LINAENDELEA KUOMBA WANANCHI KUTOA TAARIFA KUHUSU WATUMISHI WALIOGHUSHI AU KUTUMIA VYETI VYA WENGINE.
WITO HUO UMETOLEWA JANA NA KATIBU MTENDAJI WA NECTA IKIWA KWA SASA TANZANIA KUNA WIMBI KUBWA LA WATU WANAOSADIKIWA KUTUMIA VYETI VISIVYO VYA KWAO
No comments:
Post a Comment