Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Saturday, April 29, 2017

BREAKING NEWS:TANAPA WATOA UFAFANUZI ALIYEJERUHIWA NA SIMBA






Kufuatia kusambaa kwa taarifa tofautitofauti zisizo za uhakika katika mitandao ya kijamii kuhusu Simba aliyejeruhi watu katika nje ya Hifadhi ya Tarangire.Shirika la Hifadhi za Taifa limeondoa mkanganyiko huo kwa kuweka bayana kuwa aliyejeruhiwa na Simba huyo ni mtumishi wa(mlinzi) wakambi ya watalii iliyopo nje ya Hifandhi ya Tarangire maarufu kwa jina la Maramboy Tented Camp inayomilikiwa na watu Binafsi.




Hivyo TANAPA imetoa onyo kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kuzingatia weledi na iiko katika usambazaji wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na vyanzo stahiki vya Habari.

No comments:

Post a Comment