Klabu Ya Simba imemtangaza mchezaji wake Mzamiru Yassin kuwa mchezaji bora wa Simba wa mwezi MARCH 2017.
Hii inakuwa mara ya pili kwa mchezaji huyo kutwaa tuzo hiyo mara ya kwanza ilikuwa ni october mwaka 2016.
KWA NIABA YA MCHAINA NEWS TUNAKUPONGEZA MZAMIRU YASSINI.
No comments:
Post a Comment