Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, May 3, 2017

BREAKING NEWS:MBUNGE WA CHADEMA AUGUA GHAFLA AKIMBIZWA MUHIMBILI



Mbunge wa Tarime vijijini Mhe. John Heche hali yake ya kiafya sio nzuri hali iliyo pelekea kupandishwa ndege kwa dharura na kuwahishwa hospitali ya Taifa ya muhimbili,

Hata hivyo wabunge wenzake walimfanyia maombi hospitalini hapo katika hali ya kuomba uwepo wa Mungu.

TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA MH.JOHN HECHE

No comments:

Post a Comment