BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LIMETOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA FAMILIA ZA MAREHEMU WA WANAFUNZI WA SHULE YA LUCKY VICENT WALIOPATA AJALI JUZI MKOANI ARUSHA. AKIZUNGUMZA LEO ASUBUHI BUNENI MH.SPIKA JOB NDUGAI AMESEMA BUNGE LITACHANGIA KIASI CHA SH.MILLIONI 100 ZA RAMBI RAMBI.
No comments:
Post a Comment