Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Monday, May 8, 2017

TBC YAPIGWA MAWE KILA KONA KWA KUSHINDWA KURUSHA LIVE MSIBA ARUSHA

Hakika katika televishion iliyowashangaza watanzania wengi ni TBC,hii inatokana na kushindwa kuonyesha live tukio kubwa la msiba wa wanafunzi 32 waliofariki kwa kupata ajali ya gari.Huku baadhi ya televisheni binafsi ka clouds zikitoa taarifa kwa kina na ukaribu wakionyesha kiguswa sana na tukio hilo.Cha ajabu televisheni ya Taifa ambayo ndo ingekuwa karibu sana na tukio hilo.Mitandaoni watu wamelaani sana kitendo cha tbc kutofanya coverage ya moja kwa moja juu ya tukio hili la huzuni kwa taifa

2 comments:

  1. kwakweli kitendo hicho kilichofanywa na chombokikuu cha serikali kinabidi kilaaniwe sana.maana TBC ndiyomuhimiliwa nchi ii leohii umwonyesha udhaifu kwenyetukiokuulakitaifa. JE tunakwendawapi

    ReplyDelete
  2. kwakweli nimefungua tu comp nakutana namasikitikohayo nimeliasana.sikutegemea kama TBC watafanyahayo. yakuwapanafasi vyombo vya binafsi.

    ReplyDelete