John Bocco ni mali ya Simba,. Taarifa zinaeleza amesaini miaka miwili katika kikosi cha Simba.
Taarifa zinaeleza
mkataba huo ni wa awali na inaonekana Bocco ameamua kutua Simba baada ya
makubaliano yake na Azam baada ya mkataba wake kwisha, kuonekana
unakwenda kombo.
Hata hivyo, Bocco amekuwa hapokei simu ili kulithibitisha hilo suala ingawa hivi karibuni alikanusha kila kilichoandikwa kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusiana na kwamba ana mpango wa kuondoka Azam.
Alidai akaunti yake ilikuwa imetekwa lakini hali halisi ilionyesha kwamba hakuwa amezungumza lolote.
Afisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi yeye alisema walikuwa katika mazungumzo na Bocco baada ya mkataba wake kufikia tamati

UKIWA NA HABARI,PICHA,VIDEO TUTUMIE KWA WHATSAP NUMBER 0675967442
KARIBU PIA U PAKUE APPLICATION YETU GOOGLE PLAY STORE KWA HABARI MOTO MOTO
No comments:
Post a Comment