Hali ya ukumbi ulivyokuwa wakati wa mahafali hayo.
Wanafunzi
wa kidato cha tano wa shule hiyo, Mwajuma Ahmad (kushoto) na Husna
Khalid wakighani utenzi mbele ya mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya
kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa
Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh
Hamis Mataka.
Mgeni
rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya
Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu
Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka (katikati, mwenye simu), akiwa
meza kuu pamoja na Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir (kushoto) na
Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa.
Mkuu
wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir, akimkaribisha Mgeni rasmi katika
Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain,
Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania
(Bakwata), Sheikh Hamis Mataka (kushoto kwake) pamoja na kutambulisha
walimu viongozi kwenye meza kuu. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha
Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa na kushoto ni Mwalimu wa Taaluma,
Mwalimu Rashid Kassim.
Mhitimu wa kidato cha sita, Hassan Hamis (kushoto), akisoma risala ya wahitimu. Kulia anayemsaidia ni Waziri Hassan.
Mkuu
wa Chuo cha Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa,
akizungumza wakati wa mahafali ya 29 ya kidato cha sita ya Shule ya
Sekondari ya Al Haramain. Kushoto ni Mgeni rasmi katika mahafali hayo,
Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania
(Bakwata), Sheikh Hamis Mataka.
Wahitimu
wa kidato cha sita, Yusra Said (kushoto) na Raiyan Hassan wakighani
utenzi mbele ya mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya
Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka.
Mkuu
wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir, akisoma taarifa ya shule kwa Mgeni
rasmi katika mahafali hayo ya 29 ya kidato cha Sita, Mwenyekiti wa
Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh
Hamis Mataka (kulia), wakati wa mahafali hayo. Kushoto ni Mwalimu wa
Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim.
Mgeni
rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya
Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu
Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka, akizungumza na wahitimu hao,
wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Dar es Salaam jana. Kushoto ni
Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir na kulia ni Mkuu wa Chuo cha
Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa. BOFYA HAPA KUONA ZAIDI.
Mgeni
rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya
Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu
Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha Kiongozi
Bora, mhitimu Khadija Mashaka, wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es
Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti Mwanafunzi Bora katika
somo la Geography, mhitimu Mussa Baruti, wakati wa mahafali hayo, jana,
jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh
Jabir.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Hawa Gulamu, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es
Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Raiyani Hassan, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar
es Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Sada Said, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar
es Salaam.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Yusra Said, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es
Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Zaudia Ibrahim, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar
es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Bakari Gogoro, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es
Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Hassan Hamisi, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es
Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Israfil Ramadhani, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini
Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni
rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha
sita mhitimu Kibeku Ramadhani, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar
es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Wahitimu
wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, wakiingia
kwenye ukumbi wa mahafali wakati wa mahafali yao ya 29, jijini Dar es
Salaam jana.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shue ya Sekondari ya Al Haramain, Hairat Hashim akisoma Qur'an katika mahafali hayo.
Mwanafunzi Mohammed Fauz wa shule hiyo, akitoa mawaidha wakati wa mahafali hayo.
Mwalimu
wa Nidhamu katika shule hiyo, Mwalimu Omar Hamad, akiwaongoza wanafunzi
wa kidato cha tatu kughani kaswida wakati wa mahafali hayo ya 29,
jijini Dar es Saaam jana.
Wanafunzi wa kidato cha tatu wakipiga dufu na kughani kaswida wakati wa mahafali hayo ya 29, jijini Dar es Saaam jana.
Rais
mstaafu wa Serikali ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain,
mhitimu wa kidato cha sita, Hassan Hamisi akizungumza wakati wa mahafali
hayo.
Rais
mpya wa Serikali ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain,
mwanafunzi wa kidato cha tano, Salim Mruta, akitoa shukrani zake kwa
wahitimu, wakati wa mahafali hayo.
Imam wa Msikiti wa Al Haramain, Sheikh Issa Kalunga, akitoa dua wakati wa mahafali hayo.
Wahitimu wa kike wa kidato cha sita wa shule hiyo, wakiwa kwenye ukumbi wa mahafali yao hayo jana.
Mwanafunzi wa kidato cha tano wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Omar Rajab, akisoma Qur'an katika mahafali hayo.
Mwanafunzi
wa kidato cha tano wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Ally Athumani
akitoa tafsiri ya Qur'an iliyosomwa katika mahafali hayo.
Baadhi
ya wazazi na walezi wa wahitimu wa kidato cha sita, wakiwa kwenye
ukumbi wa mahafali hayo, wakifuatilia matukio mbaimbali yaliyokuwa
yakifanyika ukumbini humo.
Mkuu
wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir (wa pili
kushoto), akiwa na baadhi ya walimu viongozi katika meza kuu katika
mahafali hayo. Kushoto ni Mwalimu wa Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim.
No comments:
Post a Comment