Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya uchunguzi wa mchanga wa madini mbalimbali uliotakiwa
kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini nchini kutoka
kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiingalia
Taarifa hiyo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa
nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya
madini nchini mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine
pichani ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa wakwanza kulia wakishuhudia tukio hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
mara baada ya kupokea Ripoti hiyo ya uchunguzi wa mchanga wa madini
uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigusia
baadhi ya mambo yaliyomo kwenye Ripoti hiyo ya uchunguzi wa mchanga wa
madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo
mbalimbali ya madini nchini.
Mwenyekiti
wa Kamati hiyo Profesa Abdulkarim Hamis Mruma akisoma dondoo za Ripoti
aliyoikabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa wakisikiliza wakati mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Uchunguzi wa
Mchanga wa Madini Profesa Abdulkarim Hamis Mruma alipokuwa akiiwasilisha.
Baadhi ya Mawaziri pamoja
na Wabunge wakifatilia kwa makini uwasilishwaji wa Ripoti hiyo ya
uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi
kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Ripoti hiyo
ya Kamati.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, pamoja na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa kabla ya kupokea Ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa
madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo
mbalimbali ya madini nchini.
Wasanii
mbalimbali wa Nyimbo za Bongo Flavour na Dansi wakiimba wimbo wa Amani
Tanzania kabla ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa
madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo
mbalimbali ya madini nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi wakati Wasanii mbalimbali wa Nyimbo za Bongo Flavour na Dansi
walipokuwa wakiimba wimbo wa Amani Tanzania kabla ya kuwasilishwa kwa
Ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya
nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini.
Viongozi mbalimbali wa Dini na Siasa nao wakifatilia Ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Taarifa ya
Kamati Maalum ya uchunguzi wa Mchanga wenye madini Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi,
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi wa mchanga wenye Madini Profesa Abdulkarim
Hamis Mruma pamoja na Wajumbe wa Kamati Hiyo mara baadaya kupokea Taarifa ya
Uchunguzi huo Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment