Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Friday, May 26, 2017

WANAFUNZI CHUO KIKUU IRINGA WAADHIMISHA WIKI YA UJASILIAMALI SHARE KWA RAFIKI



Wanafunzi wa chuo kikuu Iringa leo wamehitimisha wiki ya ujasiliamali chuoni hapo kwa maonesho makubwa ya bidhaa mbali mbali.

aidha maonesho hayo pia yamehudhuliwa na wajasiliamali wengine ambao sio wanafunzi nao wakionesha bidhaa zao na uzoefu wao katika biashara.

vitivo mbali mbali vimeonesha bidhaa zao lakini kitivo cha sanaa na sayansi  jamii (FACULTY OF ART AND SOCIAL SCIENCE FASS) hasa wale wanasoma maendeleo ya jamii mwaka wa tatu  ndio ambao wamefana zaidi kwa kuonesha bidhaa mbali mbali na ujuzi mbali mbali.

CHAINA MEDIA ilipata bahati ya kupita katika baadhi ya mabanda ya wanafunzi hao wa maendeleo ya jamii mwaka wa tatu na kuona bidhaa mbali mbali na za kipee.
                                                            muwakilishi wa TEJO akionesha mboga za majani zilizosindikwa pamoja na asali ya asili     


Octavian Rweyemamu akionesha bidhaa katika banda lake.

Bi Khadija kutoka mshindo akionesha bidhaa zake za mitindo na mavazi.














Tunawapongeza wanafunzi wote waliotuandalia maonesho haya ya bidhaa za ujasiliamali hapa Chuo Kikuu Iringa.
 
UKIWA NA HABARI,PICHA,VIDEO TUTUMIE KWA WHATSAP NUMBER 0675 967442
PIA UNAWEZA KUPAKUA APPLICATION YETU YA CHAINAMEDIA GOOGLE PLAY STORE UWE WA KWANZA KUPATA HABARI.

No comments:

Post a Comment