Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Thursday, June 29, 2017

BREAKING NEWS:MALINZI NA MWESIGWA WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu MKuu wa TFF Selestine Mwesigwa wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Juni 29, 2017 kwa ajili ya taratibu za kimahakama kuchukua nafasi yake.

Malinzi na Mwesigwa walishikiliwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano lakini tangu kushikiliwa kwao, TAKUKURU hawajaweka wazi sababu za kuwashikilia licha ya kusema wanawahoji na kuendelea na uchunguzi wao.

No comments:

Post a Comment