Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Monday, June 12, 2017

BUNGENI KWAZIZIMA WABUNGE WAUPINZANI WAIMBA WIMBO WA KUMSIFU KIKWETE NA MKAPA


Bunge limezizima kwa makofi baada ya hotuba ya mpango wa bajeti ya kambi rasmi ya upinzani.

Wabunge wa upinzani ambao ndiyo wengi waliobaki ukumbini baada ya wengi kwenda kufuatilia ripoti ya kamati ya pili ya Rais John Magufuli kuhusu usafirishaji wa makinikia.

Wabunge wamesimama na kuanza kuimba huku wakipiga makofi, marais wa awamu zilizopita; Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete wametajwa.

"Tuna imani na Mkaaapa...oya oya oya

Mkapa kweeeli...kweli

Kweli, kweli, kweli Mkapa.

Tuna imani na Kikweeetee...oya oya oya

Kikwete kweeli

Kweli, kweli, kweli Kikwete."

Wimbo huo umeimbwa baada ya Waziri Kivuli wa Fedha na Mipango, David Silinde kulitaka Serikali kuileta bungeni mikataba yote ya madini ili ijadiliwe

No comments:

Post a Comment