:Rais Dkt.John Pombe Magufuli amesema kuwa katika kipindi cha utawala wake hakuna mwanafunzi atakaye rudi shuleni akipata ujauzito na hata baada ya kujifungua kwani wakiruhusiwa kurudi shule wataharibu wanafunzi wengine. "Kuna watu nimewasikia wanatetea wanafunzi kurudi shule baada ya kujifungua, yaani sisi unataka tusomeshe wazazi?
Ndani ya utawala wangu kama Rais hakuna mwenye mimba atarudi shuleni kama akipata ujauzito, hawa watu tukiwaacha watazaaa mno, sababu huo mchezo ni mzuri. Katika kipindi changu kama Rais ukipata mimba kwaheri na hao NGO wanaotetea kama wanataka wajenge wao shule za wazazi lakini si shule za serikali"Amesema RaisMagufuli.
No comments:
Post a Comment