Emmanuel Okwi ametua nchini salama salimini.
Kesho itakuwa siku ya kumalizana na Simba na baada ya hapo watatangaza rasmi.
Okwi
amewasili hivi punde kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) na kupokelewa na Makamu Rais wa Simba, Geofreu Nyange
‘Kaburu’.
No comments:
Post a Comment