Askari wa Jeshi la Polisi wakiwaondoa walemavu waliokuwa wamefunga barabara mojawapo iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.
- Walemavu hao waliandamana na kufunga barabara kwa kile kinachodaiwa kuwa wanapinga kuzuiwa kuingia na baiskeli zao katikati ya Jiji.
No comments:
Post a Comment