Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Saturday, July 8, 2017

CHUO KIKUU IRINGA WAFANYA UCHAGUZI MKUU WA SERIKALI

 Wanafunzi wa chuo kikuu iringa leo wamefanya uchaguzi mkuu wa serikali ya chuo chuoni hapo uchaguzi huo umehusisha nafasi mbali mbali kama zifuatazo.
 Rais na makamu wa Rais, wabunge na wawakilishi wa mitaa mbali mbali ya maeneo ya Chuo


kwa nafasi ya Rais wagombea watatu walikua wanagombania nafasi hiyo

1.ERICK RAPHAEL KALOKORA(SHERIA)

2.JOHN MWACHA(SHERIA)

3.GILDAPH KISSA(ELIMU)



Wakati Makamu wa Rais wagombea walioingia kwenye kinyanganyiro ni

1.HAPPY MGONGO(ELIMU)

2.PETRONIA PATRICK(BIASHARA)

 Wanafunzi mbali mbali wakiwa maeneo ya chuo baada ya kupiga kura

Kwa mbali eneo la kupigia kura likionekana na watu wakiwa kwenye foleni

                                     Eneo la Science park likiwa katika utulivu


Matokeo ya uchaguzi yatatoelewa leo jioni, 

Mchaina news ilifika eneo la tukio kuchukua taarifa na matukio mengine lakini
 hatukuruhusiwa kupiga picha ndani ya eneo la kupigia kura, na wasimamizi wa
 uchaguzi hali iliyoleta taharuki kidogo lakini  baadae tuliruhusiwa kupiga picha maeneo ya nje tu ya eneo la kupiga picha. 


ENDELEA KUWA NASI KWA KULIKE FACEBOOK PAGE YETU,YOUTUBE CHANNEL YETU,NA  

BOFYA HAPA KUPAKUA APPLICATION YETU UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA




No comments:

Post a Comment