Breaking

PAKUA MCHAINA APP HAPA CHINI USOME HABARI ZETU HATA USIPOKUWA NA MB

Wednesday, July 5, 2017

STARS KUKIPIGA NA ZAMBIA COSAFA LEO

Timu ya soka ya Tanzania Leo jioni itashuka dimbani kumenyana na chipolopolo ambayo ni timu ya taifa ya Zambia katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la cosafa nchini Africa Kusini,mechi hiyo itaanza majira ya saa kumi na mbili na nusu kwa majira ya Africa Mashariki..kila lakheri stars

No comments:

Post a Comment