SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb.
Na. EA.7/96/01/I/174 18
Agosti, 2017
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira
katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali
za Shirika la Viwango Tanzania (TBS) waliofanya usaili kuanzia tarehe 01 – 02 Agosti, 2017 kuwa
matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa.
Waombaji waliofaulu usaili
wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma zilizopo Barabara
ya Bibi Titi Mohamed, Jengo la Maktaba Kuu ya Taifa, ghorofa ya pili, Masjala
ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua
ambazo hazijachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi
waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri
katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato
cha nne na kuendelea ili vihakikiwe
na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao
hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili,
hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
NA
|
MAMLAKA YA AJIRA
|
KADA
|
MAJINA
YA WALIOITWA KAZINI
|
|
1
|
MKURUGENZI
|
QUALITY ASSURANCE
|
1.
|
FELIX JOHN
|
MKUU,
|
OFFICER II - CHEMISTRY
|
|||
SHIRIKA LA
|
2.
|
FRANK TENGANIZA
|
||
VIWANGO
|
||||
TANZANIA (TBS)
|
3.
|
MBAYA SAMWEL
|
||
4.
|
MICHAEL GABINI JOHN
|
|||
5.
|
WINNIE BURTON
|
|||
MWAMPALE
|
||||
6.
|
SHIJA JACKSON
|
|||
QUALITY ASSURANCE
|
1.
|
ALMASI BASHIR MSUYA
|
||
OFFICER II - PETROLEUM
|
||||
CHEMISTRY
|
||||
2.
|
KIDAHYA YOHANA
|
|||
3.
|
JOHNSTONE BUBERWA
|
|||
BYANJWELI
|
||||
QUALITY ASSURANCE
|
1.
|
SADICK M. NGORA
|
||
OFFICER II - MECHANICAL
|
||||
ENGINEERING
|
2.
|
SALUM HUSSEIN
|
||
3.
|
GEORGE GWISU
|
|||
QUALITY ASSURANCE
|
1.
|
PASCHAL J. MKIARU
|
||
OFFICER II - COMPUTER
|
||||
SCIENCE
|
2.
|
RAMADHANI S.KHALFAN
|
||
QUALITY ASSURANCE
|
1.
|
ANTHONY
|
||
OFFICER II - ELECTRONICS
|
A.MWAKASAKA
|
|||
& COMMUNICATION
|
||||
ENGINEERING
|
||||
QUALITY ASSURANCE
|
1.
|
IBRAHIM NGASIGWA
|
||
OFFICER II - FOOD
|
GODWIN
|
|||
SCIENCE & TECHNOLOGY
|
||||
QUALITY ASSURANCE
|
1.
|
YASIN ALLY
|
||
OFFICER II - TEXTILE