LEO NI SIKUKUU YA EID ELHAJ AMBAPO WAISLAMU NCHINI WANAUNGANA NA WAISLAMU WOTE DUNIANI KUSHEHEREKEA SIKUUKUU HII MAARUFU KAMA SIKUKUU YA KUCHINJA,,,
UONGOZI WA MCHAINA NEWS PAMOJA NA WAFANYAKAZI WAKE WOTE UNAPENDA KUKUTAKIA SIKUKUU NJEMA MPENZI MSOMAJI WA BLOGS ZETU ZA MCHAINA NEWS NA CHAINAMEDIA GROUP.
ENDELEA KUWA NASI KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK MCHAINANEWS NA PAKUA APPLICATION YETU GOOGLE PLAY STORE INAYOITWA MCHAINA NEWS UENDELEE KUPATA TAARIFA ZETU KILA SIKU.