
Waliopona ni wanafunzi 4 pekee na wapo mahututiCoaster ina jumla ya abiria 30 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha. wanafunzi hao walikuwa wakienda ziara ya kimasomo shule jirani. kamanda wa polisi mkoa wa Arusha atatoa taarifa kamili baadae


No comments:
Post a Comment