Simu : +255-22-2114512, 2116898
Email : press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi : 255-22-2113425
Email : press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi : 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM,
TANZANIA
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM,
TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu
kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 04 Mei, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Egid Beatus Mubofu
umeanza tarehe 02 Mei, 2017.
Prof. Egid Beatus Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua
nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Joseph B. Masikitiko ambaye uteuzi wake
umetenguliwa.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
04 Mei, 2017
No comments:
Post a Comment